MillionaireAdsAuthor Topic: Andika chochote chenye manufaa kwa jamii ulipwe pesa chukua fulsa hii  (Read 1880 times)

Offline Support

  • Trade Count: (0)
  • Administrator
  • Hero Member
  • *****
  • Posts: 859
  • Karma: +0/-0
  • Hamia https://www.jamiihuru.com
  • Referrals: 3424
    • View Profile
Ndugu msomaji wa mtandao huu wa chatguest tunatambua kazi ya kuelimisha jamii kwa njia ya uandishi ndiyo maana tukaanzisha mradi huu wenye manufaa kwa wote wenye uwezo wa kutumia intaneti.

Siku zote umekuwa ukitumia mitandao ya kijamii bila kufaidika kiuchumi yaani kupata pesa. Ila umekuwa ukitajirisha wamiliki wa mitandao hiyo kila saa ukiwa mtandaoni. Basi mtandao wa chatguest ni wa kipekee unalipwa kwa kila makala au mada utakayoandika popote pale kwenye mtandao huu.

Vitu vya kuzingatia ili uweze kulipwa.
1. Usikopi habari toka blog nyingine andika makala au mada yako mwenyewe
2. Jitahidi kundika makala utakayopata mashabiki wengi toka facebook twitter google plus na sehemu nyingine mitandaoni kadili unavyopata mashabiki wengi ndivyo unavyopata pesa nyingi.
3. Andika mada au makala yenye ukubwa wa kuanzia nusu ukurasa na kuendelea ili mashabiki wako wakukubali kwa ulichowaandikia

Ushauri
Andika makala za kufundisha kufanya kitu fulani mfano jinsi ya kufuga kuku wa kienyeji, makala za mapenzi, kilimo, uchumi, burudani, michezo au chochote kile unachokijua kutokana na fani yako

Malipo
Unalipwa kwa kila shabiki atakayeipenda makala yako 250tsh/shabiki na pesa zako utapokea kwa simu mpesa au tigo pesa au airtel money au safaricom kwa wakazi wa kenya. Kiwango cha chini cha kutumwa pesa ni utakapofikisha 50,000
Ukiwa na swali uliza hapa. Karibu utajirike
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Bonyeza link hii --> https://www.jamiihuru.com Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Share on Facebook Share on Twitter


 


Millionaire  Ads
MillionaireAds