MillionaireAdsAuthor Topic: Bandika tangazo lako hapa stickypost"kwa shilingi elfu moja miatano kwa mwezi  (Read 867 times)

Offline Support

  • Trade Count: (0)
  • Administrator
  • Hero Member
  • *****
  • Posts: 858
  • Karma: +0/-0
  • Hamia https://www.jamiihuru.com
  • Referrals: 3424
    • View Profile
Sasa unaweza kuandika post ya kutangaza biashara yako au blog yako na itabaki hapa juu ya post zote zisizolipiwa. Yaani sticky topic/post. Faida ya kuandika post hii na kuibana juu ya post zote ni kwamba kila atakayeingia kwenye jukwaa hili lazima ataona tangazo lako. Pia unalipia kiasi kidogo sana cha pesa huku ukipata watazamaji wengi kwenye biashara yako.

Faida nyingine utaweza kuwasiliana na wateja hapa hapa kwa kutumiana ujumbe wa siri private messages au kujibizana kwa kureply topic yako uliyoiandika hapa. Kadili majadiliano yanavyopamba moto ndivyo biashara yako inavyozidi kujulikana.

Wengi mmekuwa hamjitangazi kibiashara mnadhani Mungu atashusha miujiza na kuwafanya watu wazijue biashara zenu zilipo au huduma zenu zilipo, Mnakosea. Tumia muda kuitangaza biashara yako utaona mafanikio.

Andika post ya kutangaza blog au biashara yako sasa kisha wasiliana nami private kuniambia kuwa post fulani unataka iwekwe juu kama Tangazo. Karibu
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Bonyeza link hii --> https://www.jamiihuru.com Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Share on Facebook Share on Twitter


 


Millionaire  Ads
MillionaireAds