MillionaireAdsAuthor Topic: Lugha gani itumike kufundishia mashuleni? Kiswahili au Kingereza?  (Read 849 times)

Offline Hamis abdul

 • Trade Count: (0)
 • Premium Sponsor
 • Full Member
 • ******
 • Posts: 133
 • Karma: +0/-0
 • Referrals: 2
  • View Profile
Mjadala mkali nauanzisha hapa Hakikisha unaongea kwenye debate hii kwa njia ya mtandao. Wanafunzi shule zote Tanzania na vyuo vyote Tanzania tupo kwenye mtandao huu.

Motion ya leo ina-state hivi
Lugha gani unadhani inafaa kufundishia shule za sekondari nchini Tanzania kati ya kiswahili na kingereza?

Katika kuchangia motion hii hakikisha unatoa angalau point moja.
Karibuni wanafunzi na wadau wengine wa elimu Tanzania tujadili pamoja hapa mtandaoni.
Nisaidie mtu wangu kama hujajiunga basi jiunge kupitia link yangu ili nilipwe http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=11

Share on Facebook Share on Twitter


Offline Nadia

 • Trade Count: (0)
 • Premium Sponsor
 • Full Member
 • ******
 • Posts: 106
 • Karma: +0/-0
 • Referrals: 2
  • View Profile
Mimi nadhani kiswahili kihusike kwakua english inatufanya tushindwe kuelewa maswali kama ya physics kemia na mengineyo
Nalipwa nikiwa bado nasoma, nawe unaweza kulipwa kama mimi jiunge nami hapa http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=7

sav

 • Guest
Kingereza ni lugha ya biashara usipojifunza kingereza huwezi kufanya biashara na wageni

Offline moses nyingi

 • Trade Count: (0)
 • Newbie
 • *
 • Posts: 5
 • Karma: +0/-0
 • Write something get paid. Invite friends get paid. Play games get paid. Create account click the link http://www.chatguest.com/index.php?action=register
 • Referrals: 0
  • View Profile
Kiswahili ndo kitumike kingereza liwe kama somo 2

Offline master

 • Trade Count: (0)
 • Premium Sponsor
 • Newbie
 • ******
 • Posts: 29
 • Karma: +0/-0
 • Get money now by playing games click arcade page above also you make money when you invite friends to join this website copy your referral link and paste it on Facebook, twitter,Google plus or blogs get paid
 • Referrals: 0
  • View Profile
sasa wewe moses embu fikilia kitu sasa hivi masomo yote wanajifunza kwa kingereza lakini bado mtu anamaliza form four hawezi kuwasiliana na mzungu je hicho kingereza kikifundishwa kama somo itakuwaje? halafu tuchukulia somo la bailojia hivi ukilifundisha kwa kiswahili utapata misamiati ya kufundishia somo hilo? yale majina ya ajabu ajabu utayaitaje kwa kiswahili?

 


Millionaire  Ads
MillionaireAds