MillionaireAdsAuthor Topic: Matokeo ya kidato cha nne 2014/2015 fuatilia hapa bonyeza uhabarike  (Read 791838 times)

Offline Support

 • Trade Count: (0)
 • Administrator
 • Hero Member
 • *****
 • Posts: 859
 • Karma: +0/-0
 • Hamia https://www.jamiihuru.com
 • Referrals: 3424
  • View Profile
Fuatilia matokeo ya kidato cha nne 2014-2015 hapa chatguest.com
Kama unafuatilia matokeo ya kidato cha nne 2014-2015 basi hapa umefika habari kamili unaletewa
mtandao wako mahili kabisa unaokujuza habari za kielimu na pia mtandao huu unakupa pesa kama unatembelea kila mara. soma zaidi habari zote kwenye mtandao huu wa chatguest.com ufaidike.
Umepata habari yoyote kuhusiana na matokeo hayo ya 2014 Tafadhari waambie wenzio kwenye jukwaa hili la elimu wakushukuru kwa taarifa

(FUATILIA MATOKEO YA MWAKA HUU 2015/2016 KWA KUBONYEZA HAPA)


Post hii imeboreshwa tarehe 14 february 2015
MATOKEO YA MWAKA JANA 2014/2015 SOMA KWENYE LINK HII http://41.188.155.122/csee/matokeo/csee/2014/olevel2014.htm


Jiunge nasi muda huu utumiwe zawadi kwenye email yako
Bonyeza hapa ujiunge bure kwa sekunde chache tu

Huu ulikuwa ni ushauri kabla matokeo hayajatangazwa.
Ulifanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014 na unasubiri matokeo ya kidato cha nne yanayotangazwa mwaka 2015? Kama ndiyo basi utapata habari zote kuhusiana na matokeo hayo ya kidato cha nne 2015 mpaka yatakapotangazwa rasmi na na idara husika yani moe.

Leo hii kuna zawadi kwa watakaojiunga na mtandao huu utatumiwa ujumbe kwenye email yako kama umezawadiwa vocha za simu au pesa taslimu bonyeza hapa uweke email yako kuzawadiwa

Muda huu ukisubiri matokeo yako unafanya nini mtaani? Una malengo yoyote ya kuendelea na masomo ya kidato cha tano au ulishakata tamaa baada ya kufanya mtihani? Unaweza waambia wanafunzi wote Tanzania unachofanya muda huu kama ni cha busara na faida nao wakuige Jadili na wanafunzi wote Tanzania kwenye jukwaa la wanafunzi wa shule zote Tanzania  ujiunge na wenzio fungua account kwa dakika moja tu ni bure kabisa angalia sehemu ya kujiunga kwenye mtandao huu.

Unajua unaweza kuwa unalipwa pesa huku ukiwa shuleni unasoma? Bonyeza link hii hapa chini usome namna ya kulipwa ukiwa shuleni
http://www.chatguest.com/makala-bora-(mb)/soma-namna-ya-kulipwa-mara-unapoandika-makala-kwenye-kijiwe-hiki-cha-wasomi-(mb)/

Matokeo ya kidato cha nne 2014-2015 yatapatikana hapa endelea kufuatilia hapa hapa pia mtumie rafiki yako neno www.chatguest.com ili naye aweze kufuatilia matokeo mpaka yatakapotangazwa na idara husika ya serikali.

Ikitokea hujafanikiwa kufaulu mtihani wa kidato cha nne uliofanya mwaka 2014 umejipanga ufanye nini? Utarisiti au utaenda wapi na kufanya nini tuambie wenzio ili nasi tupate wazo toka kwako, tunaomba ureply hapo chini au ukiwa hapa kwenye jukwaa letu la elimu andika new topic tushauri wazo lako nasi tukukumbuke daima. Pia kama huna wazo utafanya nini uliza wenzako watakusaidia cha kufanya.

Chatguest inakusaidia kukupa habari kwa urahisi hasa hasa habari za kitaifa. Usisumbuke kutembelea mitandao isiyo na maadili unapoteza muda tu, kama una kompyuta tumia chatguest kuelimika kucheza games na ulipwe, pia kuna nafasi za kazi ambazo unaweza kufanya kama kuandika habari kwenye blogs na utalipwa vizuri sana. Kwanini usiisambaze chatguest.com ili Tanzania nzima na dunia ifaidi mambo mazuri yanayopatikana hapa? bonyeza herufi za "f" au "t" mwisho mwa habari hii ili uweze kuwatumia marafiki zako habari hii. watakushukuru sana kwani wengi wanahangaika kujua matokeo yanatoka lini. Na wengi wao wanafuatilia mitandaoni matokeo ya kidato cha nne 2014/2015  Ni hapa hapa chatguest.com pekee Usiondoke bila kujisajiri kwenye mtandao huu. Tutakutumia taarifa kwenye email yako siku matokeo ya kidato cha nne 2014/2015 yakitangazwa . Bonyeza link http://www.chatguest.com/index.php?action=register
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Bonyeza link hii --> https://www.jamiihuru.com Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Share on Facebook Share on Twitter


mjuni

 • Guest
Kwani bado hayajatangwazwa?

Offline Support

 • Trade Count: (0)
 • Administrator
 • Hero Member
 • *****
 • Posts: 859
 • Karma: +0/-0
 • Hamia https://www.jamiihuru.com
 • Referrals: 3424
  • View Profile
Tazama matokeo ya kidato cha nne 2014 kwenye link hii http://41.188.155.122/csee/matokeo/csee/2014/olevel2014.htm
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Bonyeza link hii --> https://www.jamiihuru.com Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

sungura

 • Guest
Ni shule gani ya kwanza kitaifa kwenye matokeo haya?

Offline Support

 • Trade Count: (0)
 • Administrator
 • Hero Member
 • *****
 • Posts: 859
 • Karma: +0/-0
 • Hamia https://www.jamiihuru.com
 • Referrals: 3424
  • View Profile
Kaizirege secondary school Kagera
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Bonyeza link hii --> https://www.jamiihuru.com Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

msaudz

 • Guest
Zaidi ya watu laki sita wametembelea post hii ndani ya mwezi moja. Kweli chatguest mpo juu kwa kutoa habari muhimu hasa za kielimu kama hizi. Endeleeni na moyo huo huo.

Sasa nimevutiwa kutangaza kwenye mtandao huu je ni kiasi gani kwa mwezi kuweka tangazo?

Offline CGMarketing

 • Trade Count: (0)
 • Global Moderator
 • Jr. Member
 • *****
 • Posts: 87
 • Karma: +0/-0
 • Referrals: 4
  • View Profile

jacob kijazi

 • Guest
sasa post mnazitangaza lini?

 


Millionaire  Ads
MillionaireAds