MillionaireAdsAuthor Topic: SURA YA KWANZA YA www.idiscusacademy.com/ KWA WANAFUNZI NA WALIMU  (Read 494 times)

Offline promo1

 • Trade Count: (0)
 • Newbie
 • *
 • Posts: 9
 • Karma: +0/-0
 • Gender: Male
 • Write something get paid. Invite friends get paid. Play games get paid. Create account click the link http://www.chatguest.com/index.php?action=register
 • Location: kilimanjaro
 • Referrals: 0
  • View Profile
Masomo yote secondary Form I hadi form 6 kwa mtandao kupitia tovuti ya www.idiscusacademy.com Walimu, wanafunzi wanaweza kutumia mtandao wa www.idiscusacademy.com kwenye simu ama computer bila malipo ya hata shilingi 10 bure kabisa na kwa urahisi mkubwa.
www.idiscusacademy.com ina manufaa makubwa kwa wanafunzi wa kidato cha 1 Hadi kidato cha 6 ,yafuatayo ni manufaa kadhaa ya www.idiscusacademy.com
1.Ni tovuti pekee ambayo inakutanisha na kuunganisha wanafunzi ,walimu ,toka kila kona ya dunia na kuwaweka sehemu moja
2.Inawapa wanafunzi na walimu uwezo wa kutuma maswali online kupitia simu zao,hii ni pale ambapo mwanafunzi ikiwa kuna swali ambalo limemshinda basi ataweza kulituma kwenye tovuti /forum zetu na kupatiwa msaada na wanafunzi wenzake ambao wanalifahamu ilo swali au walimu ambao wamejiunga na tovuti yetu
3.Pia kupitia tovuti yetu mwanafunzi ataweza kujadili kwa kina maswali ambayo yamemshinda na kuweza kujua ni vitu gani ambavyo anakuwa anakosea kwenye hayo maswali na hatimae kuweza kujirekebisha kwenye makosa ambayo anakua anayafanya kwenye ufanyaji wa hayo maswali
Haya yote mwanafunzi ataweza kuyafanya kupitia kwenye FORUMS za masomo tofauti ambazo tumezitengeza,hadi sasa tuna FORUMS tofauti zikigawanyika kwenye vipengele vifuatavyo
Physics Forum
Chemistry Forum
Biology Forum,
Mathematics Forum
Geography Forum
English Forum
Kiswahili Forum
Biology Forum
Civics Forum
Commerce Forum
Bookkeeping Forum
KWA WADAU AMBAO SI WANAFUNZI AU SI WALIMU JIANDAENI KWA SURA YA 2 YA IDISCUSACADEMY,,KUJIUNGA NA TOVUTI YETU INGIA HAPA www.idiscusacademy.com

Share on Facebook Share on Twitter


 

Related Topics

  Subject / Started by Replies Last post
2 Replies
13497 Views
Last post June 24, 2016, 08:23:46 pm
by m23
0 Replies
46625 Views
Last post September 11, 2016, 09:16:33 pm
by Support
0 Replies
84 Views
Last post December 16, 2016, 10:43:46 pm
by promo1
0 Replies
102 Views
Last post January 02, 2017, 10:26:09 am
by promo1


Millionaire  Ads
MillionaireAds