MillionaireAdsAuthor Topic: Tangazo toka Baraza la mitihani Tanzania kuhusu Usajili wa Mtihani wa Kidato cha Nne 2016 na Maarifa  (Read 641 times)

Offline Support

  • Trade Count: (0)
  • Administrator
  • Hero Member
  • *****
  • Posts: 859
  • Karma: +0/-0
  • Hamia https://www.jamiihuru.com
  • Referrals: 3424
    • View Profile
Hili ni tangazo muhimu kuhusu Usajili wa Mtihani wa Kidato cha Nne 2016 na Maarifa (QT)
 "Kipindi cha usajili kwa watahiniwa wa Kujitegemea kitaanza tarehe 1
Januari, 2016 kwa ada ya Shilingi 50,000/=kwa wanaojisajili CSEE na
Shilingi 30,000/= kwa wanaojisajili QT na kitaishia tarehe 29 Februari,
2016. Aidha watakaojisajili kwa kuchelewa yaani tarehe 01/03/2016
hadi tarehe 31/03/2016 watalipa Shilingi 65,000/= kwa watahiniwa wa
Kidato cha Nne (CSEE) na Shilingi 40,000/= kwa watahiniwa wa
mtihani wa Maarifa (QT) ikiwa ni ada ya kawaida pamoja na faini................soma zaidi kwenye link hii
http://www.necta.go.tz/files/TANGAZO%20-CSEE%202016%20final.pdf "
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Bonyeza link hii --> https://www.jamiihuru.com Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Share on Facebook Share on Twitter


 


Millionaire  Ads
MillionaireAds