Jifunze mbinu zaidi ya kumi za kumpata msichana mzuri bila ya kumhonga pesa bali yeye akupe wewe pesa bonyeza hapa kusoma online


Write comments

xx DALILI ZA KUADIMIKA KWA MKAA NCHINI.
Today at 08:11:51 am by judge
   Ni matumaini yangu kuwa mmeamka salama mkiwa na afya tele kabisa,na ni jambo la kheri kama wewe na familia yako mko salama maana wapo baadhi waliotamani kuiona leo lakini katu!nakukaribisha tena katika nafasi ya pekee tujadili kichwa cha habari hapo juu kwa kuwashirikisha watu tofauti ili tupate mwelekeo walau unaovutia na wenye tija.
  Kuadimika ni kitendo cha kitu fulani,jambo fulani au mtu fulani kutoonekana mara kwa mara yaani kama ilivyozoeleka hapo awali mtaani kwako,tunaposema dalili za kuadimika kwa mkaa nchini hasa TANZANIA tunamanisha kuwa kuna viashiria vinavyoonesha kukosekana,kutopatikana,kutokuwepo kabisa kwa bidhaa hiyo iliyo na watumiaji wengi hasa wa hali yachini,aidha inaweza kuwepo ikawa ni bei kubwa kuipata,pia inaweza isipatikane kabisa bado ikawa kama almasi kutokana na gharama za uzalishaji hadi usafirishaji kuwa washida,naomba tuangalie hiki:
  Je, kuzuia biashara ya mkaa kunawanufaisha akina nani?
  je, wananchi wa hali ya chini wana elimu tosha katika matumizi ya gas?
  Je, watu wote wako tayari kuingia kwenye matumizi ya gas nchi nzima?
  Je,kila mwananchi anaweza kumudu gharama za gas kama ilivyo kuwa kwenye mkaa?

 Karibu tushadili kwa pamoja share,like mpaka tupate mwelekeo na elimu zaidi mpenzi msomaji.

itaendelea .....

wako
Hakimu Sadock,
S.L.P 7408
DSM Tanzania,
hakimusadock@gmail.com/judgeman29@gmail.com
1 comment | Write Comment

xx Kutuma maombi vyuo vikuu 2016/2017 deadline Apply hapa haraka sana usije kosa chuo
August 23, 2016, 03:29:21 pm by Support
Freshman application deadlines
November 1   
Early Action
If you wish to be reviewed early based on transcripts through your junior year, you must have your application postmarked by November 1. You must take the SAT or ACT no later than November. Nonbinding notification by January 1.
 

If you believe you are a candidate for the Chancellor's Scholarship, it is highly recommended that you apply by the November 1 deadline, or shortly thereafter.

November 1    
Early Decision
If you wish to be reviewed early for a binding decision based on transcripts through your junior year, you must have your application postmarked by November 1. You must take the SAT or ACT no later than November. You, your counselor, and your parent must sign this document demonstrating an understanding that an admission decision to TCU is contractually binding. Binding notification by January 1.

Students applying Early Decision who intend to apply for Financial Aid must also submit the CSS/Financial Aid PROFILE in order to complete their application. Students who enroll at TCU will have the cost of filing the CSS Profile credited to their student account.

January 1
Early Action II
If you wish to be reviewed early based on transcripts through your junior year, you must have your application postmarked by January 1. You must take the SAT or ACT no later than December. Nonbinding notification by March 1.

February 15   Final Deadline
If you wish to include your fall semester/trimester grades, you must have your application postmarked by February 15. You must take the SAT or ACT no later than February. Notification by April 1. All students who apply by the Final Deadline will be considered for scholarship until funds are depleted.

Applications received after February 15 will be considered on a space-available basis.
May 1   National Candidate Reply Date
Enrollment deposit is due.
C...
0 comments | Write Comment

xx Mfahamu mwanzilishi na mmiliki wa mtandao wa chatguest.com
August 23, 2016, 03:12:34 pm by Support
Mara nyingi tumekuwa tukitumia mitandao ya kijamii bila kujiuliza ni nani mmiliki wa mtandao huo. Ukiulizwa swali taja jina la mmiliki wa mtandao wa facebook unaweza ukashindwa kutaja lakini kila siku ya mungu unatumia facebook.

Hivyo hivyo ukiulizwa nani ni mmiliki wa mtandao wa google unaweza usitaje jina lake wakati toka kidato cha kwanza mpaka chuo kikuu unatumia google kupata habari na kujifunza.

Nataka usishindwe kumtaja mwanzilishi wa mtandao wa chatguest.com mtandao unaopendwa na watu wengi kwakua mtandao huu unakulipa ukiandika makala za kufundisha jamii au kuelimisha jamii kwa lugha nyingine. Mtandao huu wa chatguest.com unakulipa ukicheza games hapa online na kuapata alama zilizopangwa. mfano kama gemu lako unalipwa ukifikisha score 100 basi cheza mapaka upate score 100 kisha wasiliana na moderators wakulipe pesa zako pia mtandao wa chatguest.com unakulipa ukialika marafiki watumie mtandao wa chatguest.com.

Mfahamu mmiliki wa mtandao huu kwa majina aliyopewa na wazazi wake na elimu yake pia utajua wapi anaishi kwa sasa na anafanya kazi gani.

Mr Mbena Riziki ndiye mmiliki wa mtandao wa chatguest.com alianzisha mtandao huu rasmi mwaka 2013 september. Kabla hajazindua mtandao huu alikuwa anamiliki blog za kawaida sana. alianza kutengeneza blog akiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha kilimo sokoine Morogoro (SUA) anasema kutengeneza blog kwake ni hobby au interest alikuwa anafanya kazi hii hata akiwa chumba cha mazoezi ya kujifunza kompyuta Computer laboratory na library na Library ya chuo cha SUA. Alipenda sana kudesign website japo hakusomea Website designing course ujuzi alionao ni wa kutumia kompyuta kwenye intaneti hapo humdanganyi kitu.

Ukimpa mtihani wa kutafuta taarifa kwenye intaneti lazima apate alama 100 na atawashinda hata wanafunzi waliosomea Information technology moja kwa moja. Pia kwenye maswala ya kucheza na html codes na java scripts hapo ndio mahala pale hata aje mwanafunzi aliyosomea...
0 comments | Write Comment

xx Huyu ndie mgunduzi wa intaneti. Aliyegundua intaneti mwaka 1991
August 23, 2016, 10:41:47 am by Support
Tim Berners-Lee ndiye aliyegundua intaneti. Leo unatumia intaneti kwa mambo mbali mbali je ulikuwa unamjua mgunduzi wa intaneti na je mwaka gani intaneti ilianza?0 comments | Write Comment

xx Jinsi ya kuandika makala nzuri ili upate washabiki wa kukupigia kura na ulipwe pesa nyingi.
August 23, 2016, 10:22:42 am by Support
Habari ndugu mwandishi wa makala mbalimbali hapa chatguest.com. Napenda nikushirikishe mbinu za kuandika makala ili makala yako ipendwe na watu wengi na wakupigie kura ya ndiyo ili ulipwe haraka.

Chatguest.com inakulipa kwa kila makala utakayoiandika kwenye mtandao huu wa chatguest.com makara yako ukishaiandika mtalamu husika ataiwekea sehemu ya kupigia kura kisha utalipwa kwa kila kura ya ndiyo unayopata kwenye makala yako.
Makala yako ukiiandika na kuanza kupigiwa kura itahesabiwa siku 366 baada ya hapo makala hiyo itafungwa kupigiwa kura yaani ndani ya siku 366 ambazo ni mwaka mmoja kura zote unazopata zinathaminishwa na pesa. Malipo ya kwanza ukifikisha kura 100 Pia kila unapofikisha kura 100 toka siku uliyolipwa pesa basi utalipwa tena mpaka  makala yako ikifungwa yaani baada ya mwaka mmoja.

Kura moja ni sawa na Tsh 250 hivyo ni wewe tu kuandika makala nzuri na kuinadi kwa watu mtaani kwako au kuwatumia link ya makala yako kwenye facebook whatsapp twitter na hata kuiweka link hiyo kwenye blog yako kama tangazo ili watu waje kuisoma na kukupigia kura ili ulipwe.

Jinsi ya kuandika makala nzuri ili ipendwe na wasomaji na kukupa kura ya ndiyo
Kwanza kabisa hakikisha unaandika makala inayotatua matatizo katika jamii mfano  wa makala zinazotatua matatizo katika jamii ni kama hii yenye kichwa hiki. “ Jifunze kutengeneza sabuni za maji ili uanzishe biashara yako”  au namna ya kufanya mapenzi mapaka mwenza wako akukumbuke” makala kama hizo lazima msomaji atavutiwa kwakua lazima utamgusa shida yake hivyo utajikuta unapigiwa kura ya ndiyo haraka na watu wengi watakupigia kura.

Pia unaweza kutumia mbinu hii. Sikiliza vyombo vya habari Kama redio TV kisha ile habari inayovuma sana iandike hapa mtandaoni mara tu unapoisikia kisha chini yake weka uchambuzi wako mfano unaweza kusikia kuwa  Mh Kasimu Majaliwa ajiuzuru uwaziri mkuu basi tumia fulsa ya habari hiyo andika hapa mtandaoni kisha weka uchambuzi wako kwenye h...
0 comments | Write Comment

xx MOTIVATION STATEMENT
August 20, 2016, 01:53:13 pm by generousy
Habari,je wajua mojawapo ya maradhi makubwa duniani na yanayosumbua watu wengi ni kutokuwa na kipato mfukoni,hii ndiyo inayopelekea watu kukata tamaa ya maisha wengine huchukua jukumu hata la kujiua.Je ni mambo gani ambayo yanapelekea watu kukumbwa na maradhi haya,hii htokana na mtu kuwa na juhudi na kazi anayofanya na pia kutoamini yaan kutokuwa na imani na kile anachofanya hii ndiyo inapelekea maradhi haya.
Vile vile ili kuondokana na maradhi haya kwanza kufanya kazi kwa bidii,amini kile unachofanya,saidia watu wengine jinsi gani umefanya mpaka umefikia hapa,jitahidi kuwa mfano wa kuigwa na watu wengine.
1 comment | Write Comment

xx UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO KATIKA JAMII.
August 20, 2016, 01:23:59 pm by judge
UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO KATIKA JAMII.
Habari ya asubuhi ndugu zangu,marafiki zangu,majirani zangu pamoja na wafanyakazi wenzangu popote mlipo ni jambo la heri kuwa tumeamka salama,japo wapo waliotamani kuiona leo lakini hawapo kutokana na matatizo tofauti yaliyojuu ya uwezo wetu.
Leo naamka na utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika jamii inayotuzunguka sisi sote ni mashahidi wa maeneo tunayoishi kuanzia mtaa hadi kufikia ngazi ya mkoa hadi taifa.
Katika ngazi hizo kila mmoja anawajibika katika nafasi yake ili kuona mambo yanaenda kama yanavyopangwa na wakuu wa kazi wa eneo hilo bila kuingiliana kwenye majukumu.Wapo wasimamizi wa Zahanati,shule,na miundo mbinu mingine iliyopo kwa ajili ya kuwasaidia wakazi wa eneo hilo kupata huduma kwa urahisi.Kumekuwa na baadhi ya watu wanatumia mgongo wa madaraka walioyonayo kujinufaisha na kusahau kusimamia majukumu waliokabidhiwa,hebu tazama barabara ya mtaani kwako inavyosumbua kwa makorongo,vumbi,je ni kweli serikali haijatenga fedha za kufanya matengenezo ya eneo hilo?Zahanati wagonjwa wanakuja kutafuta huduma ya matibabu lakini muuguzi hana muda wa kuwasikiliza na akikwasikiliza anawaambia serikali haijaleta Dawa ni zaidi ya mwezi mmoja,kweli?we ni shahidi hapo mtaani kwako umeyaona haya,hivi nani anawajibika kutoa taarifa ya upungufu wa vifaa vinvyohitajika kwenye zahanati hiyo kama sio huyo aliyekabidhiwa mamalaka ya kuongoza eneo hilo?ili mwanachi akija apate huduma kupitia kwako.
Maji ni kero sana kuliko unavyodhani watu wamepewa mamlaka ya kutatua kero anuai lakini hawaonekani kwa wakazi wao na akionekana leo mtamuona mwaka wa kumi na saba atatumia mbinu ya ujanja kuwambia kuwa atalifanyia kazi lakikini hajui uzito wa matatizo wanayoyapata wananchi kwa kukosa maji labda yanatoka mara moja kwa wiki napo kwa masaa machache yanatoweka.Fikisheni kero za watu mnaowaongoza kwa wakuu wenu wa kazi ili wapate njia na mbinu ya kuleta maendeleo hasa kupitia kwako uliyepewa mamlaka.Maana kila...
1 comment | Write Comment

Best paid Game of the day. Get paid now

Ofa Ofa Ukicheza gemu hili leo na kupata alama kubwa zaidi ya wengine kuanzia alama 600 ndani ya dakika 2 tuambie tukutumie sh.10,000 kwa mpesa tigo pesa au airtel money cheza sasa bofya game kucheza
 click to play get paid
Kesho linaweza kuchaguliwa game jingine kama game la siku na utapangiwa pesa ya kulipwa. Kumbuka unaweza kuchagua magemu mengine kwa kubonyeza hapa Kucheza game hili tumia alama za mishale kwenye kompyuta yako

+-Chatguest Radio

 Karibu ndugu msikilizaji,Sikiliza vipindi mbalimbali vinavyoandaliwa na watangazaji mahiri toka pande zote za dunia. Kudownload bonyeza kona ya juu kulia kwenye redio yako. Kufuatilia vipindi vingine Bofya hapa

Mada: Matumizi ya mitandao ya kijamii. Mada: Unyanyasaji kwa wanyama. Taarifa ya habari 16/10/2015
         
         Download hapa                                    Download hapa                                 Download hapa
Mada: Tajirika hapa chatguest.com
  Vipindi vingine vinakujia hapa hivi punde.. Record sauti ulipwe Jua zaidi
       Download hapa
          ..

Pm Friends online now

105 Guests, 3 Users
judge,
generousy,
rogers

Hi! Our newest member

mghase

+-Share your link get paid

+-Anzisha mada yako ijadiliwe

Play games get paid

 Click to play get paid

 Click to play get paid

 Click to play get paid

 Click to play get paid

 Click to play get paid


+-Chatguest Members images

Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved