Millionaire  Ads
Post reply

Name:
Email:
Subject:
Message icon:

Verification:

shortcuts: hit alt+s to submit/post or alt+p to preview


Topic Summary

Posted by: Nsolo S. Stephen
« on: May 29, 2017, 05:47:10 am »

Ushauri: sentensi uandikazo ziwe katika mpangilio sahihi wa kisarufi!

Sent from my itel_it1503 using Tapatalk

Posted by: adamkayombo95
« on: May 24, 2017, 09:19:05 pm »

Kunautajiri waina nyingi sana. Naisio utajiri pesa na mali  HAPANA. Nihivi. Utajiri inaweza kuwa akili uliyo kuwanayo katika kuitumia mfano;  (ELIMU) ukiwana elimu utoe elimu ktk jamii kulingana ulio kuwa nayo. Hapo utapata utajiri sana.

UTAJIRI
   
1,KUWANA KILAKITU AMBACHO WENGINE HAWANA
 2,ELIMU YA JUU. PIA UTAJIRI WAMAARIFA
3,FIKRA SAFI. INAKUSAIDIA KUTATUA MAMBO KIRAHISI 
4.HATA UKIWA MUIMBAJI PIA NI UTAJIRI KUPITIA SAUTI.
5.KAZI PIA NIUTAJIRI WAKUFIKIA MALENGO
6.BIDII PIA NIUTAJIRI AMBAO WENGI HAWANA NA NDIO HUWA CHINI KIUCHUMI. Asante sana. By adamkayombo95@gmail.com


Sent from my itel it1701 using Tapatalk

My account

Welcome, Guest.
Please login or register.
 
 
 
Forgot your password?
Millionaire  
Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved