Millionaire  Ads
Post reply

Name:
Email:
Subject:
Message icon:

Verification:

shortcuts: hit alt+s to submit/post or alt+p to preview


Topic Summary

Posted by: siralmasi
« on: December 26, 2017, 03:58:40 pm »

mimi ni ALMASI MICHAEL nimesoma chuo kikuu cha dar es salaam mwaka 2016. mpaka leo hii sijapata kazi, mimi nimesomea children development, care and education, psychology, curriculum development. mimi naweza kufanya kazi sehemu zote anazopatikana mtoto mfano, daycare centers(teacher), colleges
(tutor), curriculum developer, preschool managers na ukaguzi wa vituo vyote vya watoto kwa kusimamia viwango vilivyowekwa na serikali, vilevile mimi naweza kuandaa semina mbalimbali kwa vijana na wazazi kuhusu masuala mbalimbali ya malezi na makuzi. mimi nina BATCHELOR OF EDUCATION IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION. NAPATIKANA KWA NAMBA ZA SIMU ZA  0656095123.

My account

Welcome, Guest.
Please login or register.
 
 
 
Forgot your password?
Millionaire  
Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved