chatguest

KARIBU UTAJIRIKE NA chatguest.com INGIA KWENYE JUKWAA HUSIKA CHANGIA HOJA => Jukwaa la elimu Tanzania => Topic started by: Support on July 12, 2014, 12:05:56 pm

Title: Majina ya waliopangiwa vyuo vya ualimu cheti na stashahada 2014/2015
Post by: Support on July 12, 2014, 12:05:56 pm
Tetesi zote zinajadiliwa hapa mpaka majina yakiwa tayari na utayapata hapa hapa. Kwasasa jadili chochote kuhusiana na vyuo vya ualimu, Je ni kweli ada imepanda? Ni shilingi ngapi kwa mwaka? Wajuze rafiki zako habari hii kwa kubonyeza share hapo chini kwenye facebook au twitter, au google plus.
Title: Re: Majina ya waliopangiwa vyuo vya ualimu cheti na stashahada 2014/2015
Post by: m23 on July 13, 2014, 05:45:25 pm
Vipi majina bado ya vyuo vya ualimu bado wadau? tujuzane
Title: Re: Majina ya waliopangiwa vyuo vya ualimu cheti na stashahada 2014/2015
Post by: Support on July 14, 2014, 11:21:07 am
Vipi majina bado ya vyuo vya ualimu bado wadau? tujuzane

Yakiwa tayari utayaona hapa hapa kwani wanachama wenzio watakujulisha
Title: Re: Majina ya waliopangiwa vyuo vya ualimu cheti na stashahada 2014/2015
Post by: m23 on July 15, 2014, 05:38:42 pm
pamoja sana
Title: Re: Majina ya waliopangiwa vyuo vya ualimu cheti na stashahada 2014/2015
Post by: Nadia on July 17, 2014, 08:41:26 pm
Walimu wetu hao. shule zetu hazina walimu wa kutosha mkishasoma mje mtuteach.