Millionaire  AdsAuthor Topic: Unatafuta kazi? sema hapa uajiriwe kirahisi. usisubiri matangazo ya nafasi za kazi  (Read 235 times)

Offline HRM

 • Trade Count: (0)
 • Premium Sponsor
 • Jr. Member
 • ******
 • Posts: 64
 • Karma: +0/-0
 • Referrals: 2
  • View Profile
Nafasi za kazi zipo tanzania lakini bila wewe muhitaji kujituma katika kutafuta kazi utachelewa kupata kazi au hutapata kabisa. Unatakiwa kutafuta kazi kwa kupeleka barua sehemu mbali mbali kwenye mashirika binafsi, shule au viwandani hata kama hujaona tangazo la nafasi za kazi.

Pia kwenye mitandao andika ujuzi wako na kazi unayotafuta ili upate watu wanaojua nafasi hiyo ilipo. mfano hapa chatguest.com ukiandika kuwa unatafuta kazi ya afisa kilimo kuna watu humu wapo kazini wanajua ofisi fulani hakuna afisa kilimo au unaweza kubahatika kumpata na moja kwa moja mwajiri anayehitaji mfanyakazi.

Andika sasa unatafuta kazi gani na umesomea kitu gani

Offline Nixa Estxon

 • Trade Count: (0)
 • Newbie
 • *
 • Posts: 1
 • Karma: +0/-0
 • Write something get paid. Invite friends get paid. Play games get paid. Create account click the link http://www.chatguest.com/index.php?action=register
 • Referrals: 0
  • View Profile
kazi ya udereva
« Reply #1 on: February 14, 2016, 11:44:08 am »
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 19 nina elimu ya kidato cha nne na ninasubiriamatokeo...naomba kaz ya udereva nina lesen class d ikiambatana na setficate ya udereva

Offline deo tesha

 • Trade Count: (0)
 • Newbie
 • *
 • Posts: 1
 • Karma: +0/-0
 • Write something get paid. Invite friends get paid. Play games get paid. Create account click the link http://www.chatguest.com/index.php?action=register
 • Referrals: 0
  • View Profile
Naitwa Deogratius Tesha nmemaliza  form six 2015  nikasoma chuo mwaka mmoja masomo ya biashara University of Dar es salaam nikaacha natafuta ajira ya biashara na uzoefu nayo my email.deus448@gmail.com na my number 0654543790

Offline Chuki

 • Trade Count: (0)
 • Newbie
 • *
 • Posts: 1
 • Karma: +0/-0
 • Write something get paid. Invite friends get paid. Play games get paid. Create account click the link http://www.chatguest.com/index.php?action=register
 • Referrals: 0
  • View Profile
Natafuta kazi yoyote ya mtandaoni

 


Millionaire  Ads
Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved