Millionaire  AdsAuthor Topic: BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK BUSINESS MARKETING  (Read 37 times)

Offline rogers

 • Trade Count: (0)
 • Blogger
 • Newbie
 • *
 • Posts: 2
 • Karma: +0/-0
 • Write something get paid. Invite friends get paid. Play games get paid. Create account click the link http://www.chatguest.com/index.php?action=register
 • Referrals: 1
  • View Profile
BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK BUSINESS MARKETING
« on: August 08, 2016, 12:48:26 am »
Habari ndugu, Ujumbe huu ni mahsusi kwako wewe kijana/mzee ambaye unatafuta namna bora ya kutimiza ndoto zako huku tukikimbizana na muda(umri).
Ni kweli kuwa wengi tunajitahidi kufanya biashara nyingi za kutuingizia kipato, au tumeajiriwa mahali tukitegemea mshahara wa mwezi na mikopo mbalimbali. Hayo yote ni mahangaiko tuliyonayo katika dunia hii yenye maendeleo ya sayansi na teknolojia.
Napenda kuitambulisha kwenu njia salama na nzuri ya kutengeneza kipato kikubwa kuliko mshahara unapata au mkopo unaoutegemea.

JE? UPO TAYARI?..........

Njia hiyo ni BIASHARA YA MTANDAO, ndio..... Biashara ya mtandao ni moja ya fursa mpya kwa karne ya 21 ambayo inalipa nafasi ya kutimiza ndoto zako na za wapendwa wako.
Biashara ya mtandao inakupa nafasi ya kuwa na ushirikiano mzuri na kila mtu kwani........ MAENDELEO YAKO  KWENYE BIASHARA yanategemea ushirikiano NA team yako utakayoijenga.

Tuchukulie mfano wa makampuni machache ya biashara ya mtandao;
1:TREVO LLC
2:FOREVER LIVING PRODUCTS
3:GNLD
4:ORGANO-GOLD
5:ORIFLAME
6:FOURCORNERSALLIANCE
7:NEPSTAR....

Haya ni baadhi tu ya makampuni kwa Tanzania.
Mfumo wa biashara ya mtandao upo hivi;......
1:UWE MWANACHAMA
2:UJENGE TEAM NA UISUPPORT TEAM
3:PATA PESA.

Vitu vitatu tu vinakufanya uanze kutimiza malengo yako kwa haraka ukiwa na uhakika wa kukimbizana na muda(umri).
Pia uzuri wa biashara ya mtandao, unaweza kuifanya popote ulipo(kazini, nyumbani, safarini n.k) na mwisho wa siku unatengeneza pesa (ukiwa umelala).
KWA MAELEZO ZAIDI WEKA NAMBA YAKO YA WHATSAPP ILI UPATE SEMINA BUUUUREEEE.
0672-619696-whatsapp tu
0763-990182- kupiga na SMS

KARIBUNI SANA

Share on Facebook Share on Twitter


Offline Nadia

 • Trade Count: (0)
 • Premium Sponsor
 • Full Member
 • ******
 • Posts: 106
 • Karma: +0/-0
 • Referrals: 2
  • View Profile
Re: BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK BUSINESS MARKETING
« Reply #1 on: August 10, 2016, 07:37:35 am »
mimi natamani kujiunga na biashara hizo ila je kweli wanalipa?
Nalipwa nikiwa bado nasoma, nawe unaweza kulipwa kama mimi jiunge nami hapa http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=7

Offline rogers

 • Trade Count: (0)
 • Blogger
 • Newbie
 • *
 • Posts: 2
 • Karma: +0/-0
 • Write something get paid. Invite friends get paid. Play games get paid. Create account click the link http://www.chatguest.com/index.php?action=register
 • Referrals: 1
  • View Profile
Re: BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK BUSINESS MARKETING
« Reply #2 on: August 10, 2016, 12:02:50 pm »
mimi natamani kujiunga na biashara hizo ila je kweli wanalipa?

Wanalipa ndugu, karibu nikuelekeze kwenye WhatsApp 0672619696 au piga namba0763990182

Offline Support

 • Trade Count: (0)
 • Administrator
 • Hero Member
 • *****
 • Posts: 849
 • Karma: +0/-0
 • Hamia https://www.jamaaonline.com/?ref=Blogger
 • Referrals: 3424
  • View Profile
 • Marital status: Single
Re: BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK BUSINESS MARKETING
« Reply #3 on: August 11, 2016, 08:08:35 am »
Elekeza na hapa
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

 

Related Topics

  Subject / Started by Replies Last post
1 Replies
40 Views
Last post April 11, 2016, 06:06:20 pm
by jimmy22
0 Replies
16 Views
Last post June 20, 2016, 04:28:25 pm
by Support
0 Replies
76 Views
Last post July 06, 2016, 11:53:29 am
by Trainer
0 Replies
18 Views
Last post October 05, 2016, 08:24:34 am
by Support
0 Replies
220 Views
Last post December 05, 2018, 05:19:49 pm
by Support

Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved