MillionaireAdsAuthor Topic: Mtandao wa chatguest unauzwa bei poa  (Read 627 times)

Offline Support

  • Trade Count: (0)
  • Administrator
  • Hero Member
  • *****
  • Posts: 859
  • Karma: +0/-0
  • Hamia https://www.jamiihuru.com
  • Referrals: 3424
    • View Profile
Mtandao wa chatguest unauzwa bei poa
« on: June 12, 2018, 02:14:56 pm »
Download app ya jamaaonline utengeneze pesa kwa kuandika makala zenye manufaa kwa jamii. Bonyeza link hii http://bit.do/jamaaonline

Karibu http://www.jamaaonline.com Ni kweli mitandao ambayo inamilikiwa na watazania kwa sasa imepoteza dira. Wamiliki wa blog na forums hawana hamu tena ya kuendelea na kazi hiyo kutokana na kukosa pesa nyingi za kusajiri blog hizo huko zinakotakiwa kusajiriwa na kupata leseni ambayo inahitaji pesa nyingi kuliko kipato cha blog zao.

Nikiwa kama mzalendo wa Tanzania sitachoka kujaribu kutumia fulsa zilizopo nchini mwangu na kuwaachia Facebook twitter whatsapp instagram ndiyo watengeneze mamilioni ya pesa kwa kuuza mitandao yao nchini mwangu wakati mimi nina uwezo wa kuanzisha project kama ya facebook japo sina hela ya kusajiria kwa ajiri ya leseni. Pesa za kusajiria zitapatikana mbele kwa mbele cha msingi tulinde nchi yetu kwa kutopost kila tunachokiona na kukisikia hata vile vinavyoweza kuhatarisha usalama wa nchi yetu inayosifika kwa kuwa na Amani duniani.

Chatguest nayo inafungwa rasmi hutaweza kupost makala wala kucomment kwakua nayo haina utofauti na Jamii forums ambayo tayari ipo closed, japo chatguest hakuna habari za current affairs ambazo hazitakiwi kupost mitandaoni.

Lakini facebook twitter sidhani kama watu wataacha kupost. Ushauri kwa serikali yangu ni kwamba tuipitie vizuri sheria tukitafakari lengo kuu la kudhibiti usiri ni kuweka gharama za usajiri wa blog na leseni za blog za wazawa tu  kuwa juu hata kwa anayeanza kutoa huduma hii na hali facebook twitter insta na mitandao mingine ya wageni wanaruhusiwa kutoa huduma kama ile ile nchini mwetu bila kulipia kodi wala usajiri nchini kama ilivyo kwa huduma za wazawa. Inawezekana sijui kuwa facebook inalipa kodi nchini mwetu kwa hilo nisamehewe.

Je mtu akitaka kufungua forum kwa ajiri ya kutoa elimu tu mfano elimu ya kilimo ujasirimali na hana milioni moja za leseni kwakua forum haijaanza kumlipa naye asitoe huduma hiyo kwakua ni mzawa, lakini wamiliki wa forum kama ileile nje ya Tanzania watoe huduma ndani ya nchi yangu na watengeneze kipato kizuri kutokana na population ya watu wa nchi yangu wakati mimi naweza kufanya hivyo.

Ni hayo tu wakuu wetu Tungeitwa bungeni tungeyasema haya badala ya kuyasema huku.

Chatguest.com inauzwa bei poa domain imesajiriwa mpaka mwaka 2028 hutalipia chochote kwa jina hili. Pia chatguest ina members zaidi ya 7000. Chatguest.com inauzwa  si kwa sababu ya kukosa pesa za usajiri TCRA bali ilikuwa inauzwa hata kabla ya sheria ya mtandao ya mwaka 2018 ambayo ndiyo imepelekea watu kufunga blogs zao bila kupenda kwakua hawana milioni za leseni na wala hawawezi kuzipata hizo milioni hata kwa miaka 5.

Wanaoshauriwa kuinunua chatguest ni wasio wazalendo wa Tanzania uwe unatoka kenya uganda au nchi nyingine zenye kuruhusu kumikili mitandao hii bila masharti magumu.http://www.jamaaonline.com

Ukiihitaji chatguest nifuate inbox au kwenye mitandao ya wageni whatsapp 0652428852 au telegram 0652428852 Hapa hadharani huwezi kupost chochote Si uongozi wa chatguest hautaki upost bali ni sheria za nchi ya Tanzania Vinginevyo changia milioni moja tupate leseni ili uweze kupost kwa masharti ya sheria ya maudhui ya mtandao 2018 Tanzania.
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Bonyeza link hii --> https://www.jamiihuru.com Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Share on Facebook Share on Twitter


 

Related Topics

  Subject / Started by Replies Last post
1 Replies
501 Views
Last post April 11, 2016, 06:06:20 pm
by jimmy22
3 Replies
109 Views
Last post August 20, 2016, 02:30:35 pm
by judge
0 Replies
40 Views
Last post August 23, 2016, 03:12:34 pm
by Support
0 Replies
65 Views
Last post September 20, 2016, 08:18:22 am
by Support
0 Replies
98 Views
Last post May 29, 2017, 10:44:52 pm
by Support

MillionaireAds