Millionaire  AdsAuthor Topic: Miliki chatguest.com leo uweze kutengeneza pesa  (Read 67 times)

Offline Support

  • Trade Count: (0)
  • Administrator
  • Hero Member
  • *****
  • Posts: 849
  • Karma: +0/-0
  • Hamia https://www.jamaaonline.com/?ref=Blogger
  • Referrals: 3424
    • View Profile
Miliki chatguest.com leo uweze kutengeneza pesa
« on: February 28, 2018, 04:16:21 pm »
Habari ndugu mwanachama na mtumiaji wa mtandao huu wa chatguest.com. Mtandao huu ulianza mwaka 2013 mpaka sasa una wanachama zaidi ya 7000.

 Mtandao huu unauzwa kwa beu ya ofa ndani ya mwezi huu wa tatu 2018. Ukinunua mtandao huu utafaidika na yafuatayo.

1. Jina la mtandao huu yaani chatguest.com limelipiwa mpaka mwaka 2028 yaani miaka 10 yote hutalipia jina hili tena.
2. Mtandao huu una wanachama zaid ya elfu saba hivyo ukiuchangamsha utaweza kutengeza si chini ya sh elfu kumi kwa siku kwa mwezi utatengeneza si chini ya laki 3 huu ni mshahara mzuri tu.
3. Mtandao huu umeshakuwa maarufu kwenye google search ingine ulishawahi kupata wasomaji zaidi ya laki sita kwa siku mbili angalia kwenye jukwaa la elimu Tanzania. Hivyo ukiandika makala au habari inaenda juu kabisa kwenye google search results na kupata wasomaji wengi wapya kila siku na utapata watu wapya wanaojisajir kila siku.

Mtandao huu unauzwa kwa bei ya promotion kwakua sasa tumewekeza nguvu zetu zote kwenye mtandao mpya wa www.jamaaonline.com

Ukihitaji mtandao huu tuwasiliane kwa sms namba 0652428852 au whatsapp kwa namba hivyo hiyo. Karibu sana umiliki chatguest.com
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Share on Facebook Share on Twitter


 

Related Topics

  Subject / Started by Replies Last post
1 Replies
40 Views
Last post April 11, 2016, 06:06:20 pm
by jimmy22
0 Replies
25 Views
Last post April 16, 2016, 03:25:47 pm
by Support
0 Replies
46 Views
Last post July 22, 2016, 10:39:27 am
by Support
0 Replies
24 Views
Last post December 27, 2016, 08:50:56 pm
by Support
0 Replies
28 Views
Last post May 29, 2017, 10:44:52 pm
by Support

Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved