Millionaire  AdsAuthor Topic: Sasa ukiandika makala hapa mtandaoni unalipwa mara mbili zaidi ya awali  (Read 41 times)

Offline Support

 • Trade Count: (0)
 • Administrator
 • Hero Member
 • *****
 • Posts: 849
 • Karma: +0/-0
 • Hamia https://www.jamaaonline.com/?ref=Blogger
 • Referrals: 3424
  • View Profile
Habari ndugu mtembeleaji wa chatguest.com tunapenda kutangaza malipo mapya ya uandishi wa makala zenye manufaa kwa jamii kwenye mtandao huu wa chatguest.com Tumia elimu yako ujuzi wako kuelimisha jamii hapa chatguest ulipwe pesa nzuri.Ukiwa na swali lolote uliza kwa kubonyeza  hapa utajibiwa

Siku za nyuma ilikuwa unalipwa shilingi za kitanzania 250 kwa kila atakaye like makala yako hivyo watu 100 wakiipenda makala yako ulikuwa unalipwa 250x100=25,000

sasahivi ukiandika makala na ikapendwa na watu kila mtu anayelike makala yako unalipwa shilingi za kitanzania 500 hivyo watu 100 wakiipenda makala yako unalipwa 500x100 = 50,000


[/size]Ukiwa na swali lolote uliza kwa kubonyeza  hapa utajibiwa

Jiulize Kama makala yako itapendwa na watu 100 kila siku je kwa mwezi utakuwa na shingi ngapi? Jibu ni hili kwa siku utatengeneza 50,000 kwa mwezi ni 50,000x30=1,500,000 Ajira ndiyo hii anza sasa kuanika makala kwenye mtandao wa chatguest.com ulipwe pesa zako.

Unaweza kuandika chochote upendacho mfano mada za mapenzi, teknolojia, ushauri, kilimo, biashara au mada yoyote ile uipendayo.

Ukiwa na swali lolote uliza kwa kubonyeza  hapa utajibiwa
Kumbuka umepokea ujumbe huu kwakua ni mwanachama wa mtandao wa www.chatguest.com
Sponsored ad
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Share on Facebook Share on Twitter


Offline uwekezaji

 • Trade Count: (0)
 • Jr. Member
 • **
 • Posts: 52
 • Karma: +0/-1
 • Gender: Male
 • Write something get paid. Invite friends get paid. Play games get paid. Create account click the link http://www.chatguest.com/index.php?action=register
 • Location: Moshi
 • Referrals: 328
  • View Profile
 • Marital status: Married
Mmekuwa mnabadili sera zenu za malipo ghafla na kutufanya sisi wanachama wakati mwingine kutumia nguvu zetu na muda wetu bure. Mwanzoni nilipojiunga na mtandao huu mliahidi malipo kwa kuwaalika marafiki. Watu tukahangaika kualika ili kuukuza huu mtandao mara ghafla mkashusha kiwango cha malipo na kuongeza payment threshold. Kwa kweli nilichukizwa sana kwani ni kuchezea muda wa watu. Watu tukaandika makala zikapigiwa kura lakini mambo yakawa hayo hayo ya kubadilibadili sera kukwepa kulipa. Leo mnakuja tena na maneno ya kuvutia, mnatupa uhakika gani hamtabadili sera watu wakianza kupata like za kutosha? Mnaanzisha wazo zuri lakini hamshiki ahadi zenu.

Offline ommymkar

 • Trade Count: (0)
 • Newbie
 • *
 • Posts: 3
 • Karma: +0/-0
 • Write something get paid. Invite friends get paid. Play games get paid. Create account click the link http://www.chatguest.com/index.php?action=register
 • Referrals: 0
  • View Profile
naanza kwa @salama kutoka kwangu kuja kwenu @habarin

 _mada yangu nikuusiana na maisha
Amakwel maisha ya sasa yamebadilika sana @kwasababu gan nasema maana SKU iz ubinadam umegeuzwa ni pesa@ kama huna pesa bas uwez kupata hata lafki mnzur wa kubadirishana mawazo ya maisha bar yeye utakae kuwa nae atakupa @ushauli wa kuku joke2 mwisho wa SKU anakutelekeza bila msaada ata kama ni ndugu yako @wa dam kama ww ulisha pitia mazingila kama aya embu @like kidogo usipite kmya kmya

 

Related Topics

  Subject / Started by Replies Last post
2 Replies
8748 Views
Last post June 10, 2015, 11:25:25 pm
by Support
1 Replies
68 Views
Last post October 06, 2016, 09:35:31 pm
by Support
0 Replies
10 Views
Last post August 27, 2016, 12:16:46 pm
by Support
0 Replies
39 Views
Last post March 10, 2018, 10:56:30 am
by Support
0 Replies
277 Views
Last post October 20, 2018, 06:55:41 am
by Support

Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved