Author Topic: Ujue mtandao unaofanana na facebook ambao unalipa admins wa groups  (Read 2 times)

Offline Support

  • Administrator
  • Hero Member
  • *****
  • Posts: 837
  • Karma: +0/-0
  • Hamia www.millionairebloggers.com
  • Referrals: 3417
    • View Profile
Napenda nikushirikishe fulsa hii inayopatikana mtandaoni. Kuna mtandao unaitwa JAMAA mtandao huu unafanana kabisa na Facebook kizuri kilichopo kwenye mtandao wa JAMAA ni kwamba ukiunda group na ku-add members kwenye group lako unalipwa kila mwisho wa mwezi kulingana na idadi ya wanao-chat kwenye group lako.

Hizi ndizo fulsa zinazopatikana kwenye intaneti. Ukiwa na group la watu 5000 nadhani utafungua ofisi kabisa mtaani kwako na utanunua kompyuta na simu nzuri kwa ajili ya kazi hiyo tu. Anza leo kuunda group lako uwe mkurugenzi wa group lako kila mwisho wa mwezi unapokea mshahara wako.

Ukipata habari yoyote ile kama hii ipokee kisha ifanyie kazi kwa kufanya uchunguzi ili kesho upate cha kusema ambacho ni sahihi pindi ukikutana na JAMAA yako mtaani. Tumia dakika mbili ingia kwenye mtandao wa JAMAA kwa kubonyeza link hii https://mkaliwao.com/jamaa

Au kama unasoma hapa kwa kutumia simu basi weka app ya JAMAA toka play store bonyeza link hii https://play.google.com/store/apps/details?id=com.jamaa.tz

Hakika utakuwa shuhuda kwa wengine.
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo millionairebloggers.com Bonyeza hapa Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Social Buttons


 

With Quick-Reply you can write a post when viewing a topic without loading a new page. You can still use bulletin board code and smileys as you would in a normal post.

Name: Email:
Verification:

Related Topics

  Subject / Started by Replies Last post
1 Replies
122 Views
Last post May 05, 2016, 10:47:44 am
by Support
1 Replies
10 Views
Last post April 11, 2016, 06:06:20 pm
by jimmy22
0 Replies
1 Views
Last post April 23, 2016, 01:16:44 pm
by uwekezaji
0 Replies
6 Views
Last post April 30, 2016, 01:15:14 pm
by Support
0 Replies
8 Views
Last post October 05, 2016, 08:24:34 am
by Support

Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved