Millionaire  AdsAuthor Topic: Faidika na Chatguest Ads, mfumo wa matangazo wenye bei ndogo ya kutangaza blog/biashara kuliko sehe  (Read 30 times)

Offline Support

  • Trade Count: (0)
  • Administrator
  • Hero Member
  • *****
  • Posts: 849
  • Karma: +0/-0
  • Hamia https://www.jamaaonline.com/?ref=Blogger
  • Referrals: 3424
    • View Profile
Huduma za matangazo ya chatguest  mfumo wa matangazo wenye bei ndogo za matangazo kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.

Chatguest Ads ni sehemu unayoweza kutangaza blog yako au huduma yako au biashara yako kwa shilingi elfu tano tu kwa mwezi na ukapata wateja wengi au watembeleaji wengi kwenye blog yako.
Mtandao wa matangazo wa chatguest umelenga kuwasaidia wamiliki wadogo wadogo wa blog na biashara ili kuwawezesha kuweza kupata faida kwa kazi wanayoifanya ya uandishi wa blog au biashara ndogo ndogo walizozianshisha na wanataka kuzitangaza ili watu wazijue.

Chagua vifurushi  nafuu  vya matangazo kama vilivyoorodheshwa hapa chini
1.   Kifurushi cha mwezi. Hiki ni kifurushi ambacho mteja anatangaza blog au biashara yake kwa shilingi elfu tano tu kwa mwezi mzima na tangazo lake linaoneshwa kwenye blog ziaidi ya 600 kila mara kila siku. Mteja anatakiwa kulipia kuanzia miezi mitatu. Mteja anaruhusiwa kulipia hata mwaka ili kuondokana na usumbufu wa kusitisha matangazo mara ada ya tangazo inapoisha.

2.   Kifurushi cha “impression” Mteja analipia kwa kila tangazo linapooneshwa kwa mtu anayesoma blog. Kiwango cha chini cha kununua impressions ni impressions elfu kumi na tano (15,000) impression moja sawa na shilingi moja.

3.   Kifurushi cha clicks. Mteja analipia tu kwa tangazo ambalo msomaji blog amebonyeza tangazo hilo ili kupata maelezo zaidi kwenye blog au website ya mteja wa tangazo. Kiwango cha chini kununua clicks 150 wakati click moja ni sawa na shilingi  99.


Ukubwa wa matangazo.: Matangazo tunayotumia kwa sasa ni 728x200 tangazo la ulalo  au 300x300 tangazo la wima. Matangazo haya ni ya picha yakichanganywa na maandishi kama matangazo ya facebook yanavyoonekana ,huu ni mfumo wa kisasa unaofaa kutumika kwenye blogs au mitandao ya kijamii.

Jinsi tangazo lako litakavyoonekana
Mfano wa tangazo la ulalo (horizontal ad)

Mfano wa Tangazo la wima (Vertical ad)


Tuma ujumbe kwenda chatguestforum@gmail.com au whats app namba 0652428852 ukielezea unataka kutangaza nini na unachagua kifurushi gani hapo juu. Kumbuka utaunganishwa na mfumo wa matangazo yetu ambako utaweza kuangalia ripoti ya jinsi tangazo lako linavyooneshwa kila siku kila wiki n kila mwezi na hata kwa mwaka. Kwa mfumo huu utaweza kujua kama pesa uliyolipia imetumika ipasavyo.

Huu ni mtandao wa kwanza unaowajali watanzania na kuwasaidia kujiajiri kupitia uandishi wa blog kwa kuzitangaza blog zao na kuwasaidia wafanya biashara wadogo  wadogo ambao hawawezi kumudu garama za kutangaza biashara zao kwa pesa nyingi kama wengine wanavyotoza.
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Share on Facebook Share on Twitter


 

Related TopicsMillionaire  Ads
Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved