Millionaire  AdsAuthor Topic: Jinsi ya kuweka matangazo ya chatguest kwenye blog yako ili ulipwe kila mwezi. soma hapa  (Read 67 times)

Offline Support

 • Trade Count: (0)
 • Administrator
 • Hero Member
 • *****
 • Posts: 849
 • Karma: +0/-0
 • Hamia https://www.jamaaonline.com/?ref=Blogger
 • Referrals: 3424
  • View Profile
Habari ndugu mmliliki wa blog. Umekuwa ukiandika blog kwa muda mrefu bila kupata watu au makampuni ya kutangaza kwenye blog yako? Kama jibu ni ndiyo basi sasa mkombozi amekuja Tanzania. Blog yako itakuwa ajira kuanzia siku utakayoweka mtangazo yetu.

Tunahitaji wamiliki wenye blog ambao wapo serious na uandishi wa blog tu. Kama wewe unaandika blog yako mara moja kwa mwezi wewe usiweke matangazo yetu kwani huwezi kupata watembeleaji kwenye blog unayoandika habari mara moja kwa mwezi.

Kwa ambaye yupo serious na uandishi wa blog na anataka kuifanya blog yake kuwa ajira afuate hatua hizi

Kwanza kabisa chukua codes za matangazo kwa kubonyeza hapa kisha weka kwenye blog yako ukishaweka matangazo yakaanza kuonekana sasa fuata hatua hizi hapa chini ili uanze kulipwa kila mwezi

Ukiwa umesign in kwenye google analytics account yako fuata hatua hizi

1. Add email yetu kwenye google analytics account yako kama can "read and analyze" Jifunze jinsi ya kuadd email yetu hapa chini

Bonyeza neno admin lililopewa namba 1 kwenye picha kisha
Endelea na hatua hapa chini baada ya picha hii chini kutokea

Bonyeza maneno user management kamainavyooneshwa na mishale kwenye picha hapo juu tazama namba 2
Kisha endelea hatua zilizooneshwa kwenye picha hapa chini
Andika email hii chatguestforum@gmail.com kwenye kibox hapo juu angalia mshale wa namba 3 kwenye picha pia hakikisha herufi A hapo panasomeka read & analylize Kisha bonyeza add kama ilivyooneshwa na namba 4 hapo juu


Kisha endelea na zoezi kama ilivyooneshwa hapa chini


Kama inavyooneshwa kwenye picha hapo juu bonyeza neno reporting namba 5 kisha bonyeza neno email kama ilivyooneshwa namba 6 hapo utapelekwa sehemu inayofanana na picha hapa chini

Sasa umeletwa sehemu ya kuingiza email hapo juu andika email chatguestforum@gmail.com hapo kwenye namba saba. Kwenye namba namba nane andika setensi hii "Waliotembelea blog ya (taja jina la blog yako) kwa mwenzi" Namba 9 sehemu iliyoandikwa weekly bonyeza kisha chagua monthly. Namba 10 andika ujumbe huu Hii ni report ya waliotembelea blog yangu ya (taja jina la blog yako ) kwa mwezi. Naomba pesa nitumiwe kwa namba hiii ( andika namba ya simu ya kupokelea pesa) Hapo utakuwa umemaliza bonyeza neno send

Kila mwisho wa mwezi chatguest watapokea ujumbe wako unaoelezea idadi ya watu waliotembelea blog yako kwa mwezi husika hivyo kama idadi ya watu inaanzia elfu kumi na kuendelea utatumiwa pesa zako kama hutafikisha elfu kumi basi idadi hiyo itaongezwa kwenye mwezi unaofuata.
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Share on Facebook Share on Twitter


Offline Support

 • Trade Count: (0)
 • Administrator
 • Hero Member
 • *****
 • Posts: 849
 • Karma: +0/-0
 • Hamia https://www.jamaaonline.com/?ref=Blogger
 • Referrals: 3424
  • View Profile
Kwa walioajiriwa kuandika blogs za chatguest wao hawana haja ya kufuata hatua hizo. kila kitu kinafanywa na mtalaamu kutoka chatguest
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

 

Related Topics

  Subject / Started by Replies Last post
0 Replies
13 Views
Last post May 05, 2016, 09:51:02 am
by Trainer
0 Replies
13 Views
Last post July 05, 2016, 01:31:00 pm
by Trainer
1 Replies
157 Views
Last post October 13, 2016, 01:26:54 pm
by Support
0 Replies
52 Views
Last post December 07, 2016, 06:25:50 pm
by Support
0 Replies
13 Views
Last post December 09, 2016, 09:37:06 am
by Support


Millionaire  Ads
Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved