Millionaire  AdsAuthor Topic: Tangazo mtandao wa chatguest unauzwa bei poa, wahi utengeneze pesa kupitia mtandao huu  (Read 40 times)

Offline Support

 • Trade Count: (0)
 • Administrator
 • Hero Member
 • *****
 • Posts: 851
 • Karma: +0/-0
 • Hamia https://www.jamiihuru.com
 • Referrals: 3424
  • View Profile
Habari mwanachama wa chatguest na msomaji wa tangazo hili. Habari njema kwa wanaotaka kutengeneza pesa kupitia uwekezaji kwenye mitandao ya kijamii. chatguest iianza mwaka 2013 rasmi mpaka sasa ina wanachama zaidi ya elfu saba waliojisajiri humu ndani. Mtandao huu unaingiza pesa kupitia matangazo. Pia unaweza kuingiza pesa kwa kulipisha ada ya uwanachama pindi mtu akijiunga.

Domain ya chatguest.com imeshalipiwa mpaka mwaka 2028 hivyo ukinunua mtandao huu huna haja ya kulipia domain kila mwaka mpaka ifikapo mwaka 2028 ndiyo utaanza kulipia dola 12 kila mwaka. Domain hii ya chatguest.com imeshakuwa maarufu kwenye search engines kulingana na alexa rank chatguest.com ipo kwenye namba ya 400,000 kimataifa na kwa tanzania ipo kwenye namba 400 kati ya maelfu ya blogs kwa tanzania na mabilioni ya blogs kimataifa.

Nunua mtandao huu wa chatguest uweze kutengeneza pesa nzuri. Kwanini chatguest inauzwa? sababu ni kwamba mmiliki wa mtandao huu anataka kutia nguvu katika kuwekeza kwenye mtandao wa wasapu ambao ameona kwa muda mfupi tu mtandao huo umekuwa maarufu kwani watu wengi wanadownload app ya wasapu na kuiweka kwenye simu zao na kuchat na marafiki. wasapu ni mtandao wa kijamii wa kutumiana ujumbe kwenye simu hata wewe unaweza download app kwa kubonyeza hapa


Kwa yeyote anayehitaji kununua mtandao wa chatuest awasiliane nasi hapa hapa online kwa kutuma ujumbe wa siri au kuandika hapa hapa hadharani. karibuni. Bei ya kuuza mtandao huu ni laki sita tu za kitanzania
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Bonyeza link hii --> https://www.jamiihuru.com Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Share on Facebook Share on Twitter


Offline jimmy22

 • Trade Count: (0)
 • Newbie
 • *
 • Posts: 1
 • Karma: +0/-0
 • Gender: Male
 • Write something get paid. Invite friends get paid. Play games get paid. Create account click the link http://www.chatguest.com/index.php?action=register
 • Location: Dar es salaam, Tanzania
 • Referrals: 0
  • View Profile
 • Marital status: Single
Nahitaji tuwasiliane kupitia email kwa maelezo zaidi
Like Like x 1 View List

 

Related Topics

  Subject / Started by Replies Last post
0 Replies
46 Views
Last post July 22, 2016, 10:39:27 am
by Support
0 Replies
13 Views
Last post September 20, 2016, 08:18:22 am
by Support
0 Replies
47 Views
Last post October 18, 2016, 05:48:00 pm
by Support
0 Replies
28 Views
Last post May 29, 2017, 10:44:52 pm
by Support
0 Replies
166 Views
Last post June 12, 2018, 02:14:56 pm
by Support


Millionaire  Ads
Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved