Tunatafuta watu wenye sauti nzuri za kurekodi sauti za matangazo ya chatguest. Kama wewe unahisi unauwezo wa kurekodi sauti ya kuvutia kimatangazo basi tuma demo ya sauti ubahatike kupata pesa kwa kila tangazo utakalorekodi kwa ajiri ya mtandao wa chatguest.
Huhitaji kwenda studio kurekodi wewe chukua simu yako kaa sehemu ambayo haina kelele wala upepo kisha nenda sehemu ya kurekodia sauti kwenye simu yako na rekodi Tangazo lolote kati ya haya hapa chini na utume kwenda kwenye email hii chatguestforum@gmail.com au weka kwenye mtandao huu sehemu ya kuandikia posts.
Tangazo la kwanza.Naitwa (
Taja jina lako ) Napenda kutumia mtandao wa kijamii wa chatguest.com na sio mitandao mingine kwasababu chatguest.com inanilipa kila nikicheza games na kushinda, nalipwa napowaambia marafiki watumie chatguest.com na mwisho naipenda chatguest kwasababu inanilipa kwa kila mada ninayoandika mtandaoni.
Tangazo la piliNimetumia facebook miaka mingi lakini sijawahi kupata pesa kama navyopata pale chatguest.com. Hakika chatguest.com inakulipa ukicheza games na kushinda, inakulipa ukimwambia rafiki atumie chatguest na unalipwa kwa kila mada utakayoandika pale chatguest.com.
Tangazo la tatuJe unatafuta mchumba au rafiki wa kuchat naye? Ni chatguest.com pekee yenye marafiki wa kweli. Nimempata mpenzi kwa kutumia chatguest.com unasubiri nini ingia sasa
www.chatguest.comTangazo la nneChatguest.com ni mtandao bora wa kijamii unaokulipa wewe mtumiaji. Usidanganyike na kupoteza muda kwenye mitandao mingine ya kijamii kila siku tumia
www.chatguest.comChagua tangazo lolote hapo juu kisha rekodi kwenye simu yako kama ulivyoelekezwa na kutuma kwenda chatguestforum@gmail.com. Watateuliwa wachache wenye sauti nzuri ya kurekondi matangazo ya sauti. Ukishachaguliwa kufanya kazi na chatguest utalipwa si chini 10,000 kwa kila Tangazo utakalopewa urekodi wahi fulsa hii ya kudumu na rahisi kuitumia. Karibuni