Millionaire  AdsAuthor Topic: Template inayofanya blog yako kusomeka vizuri kwenye simu. Pata watembeleaji wengi sasa  (Read 41 times)

Offline Support

  • Trade Count: (0)
  • Administrator
  • Hero Member
  • *****
  • Posts: 851
  • Karma: +0/-0
  • Hamia https://www.jamiihuru.com
  • Referrals: 3424
    • View Profile
Teknolojia imekua sana. Siku hizi watu wanaotumia simu kuperuzi mitandao ni wengi kuliko wanaotumia kompyuta. Ewe blogger ili upate watembeleaji wengi kwenye blog yako hakikisha unaweka template hii kwenye blog yako. Template hii ni bure kabisa. Blog yako itakuwa na mwonekano mzuri na kuvutia watembeleaji. Sasa blog ni ajira tosha

Kuiweka template hii kwenye blog yako ni rahisi sana fuata hatua hizi

1. Download template hii ambayo haijafikia hata Mb moja yaani ni ndogo sana bonyeza hapa kudownload ndani ya dakika moja itakuwa tayari


2. Ingia kwenye blog yako sehemu ya dashboad click template kisha angalia kwenye kona ya juu kulia utaona maneno backup/restore bonyeza hapo

3. Nenda sehemu ya ku-upload file kisha chukua file ulilodownload toka kwenye simu yako au kompyuta mwisho bonyeza upload .


Hapo umemaliza sasa blog yako itaonekana kwenye simu bila matatizo hivyo utapata watu wengi sana wanaosoma blog yako kwakua siku hizi teknolojia ya simu imekua sanaNitarudi kumalizia jinsi ya kufanya matangazo ya blog yako yaonekane kwa watumiaji wa simu ili uongeze mapato kwenye blog yako
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Bonyeza link hii --> https://www.jamiihuru.com Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Share on Facebook Share on Twitter


 

Related Topics

  Subject / Started by Replies Last post
1 Replies
24 Views
Last post May 04, 2016, 02:49:00 am
by Nsolo S. Stephen
1 Replies
68 Views
Last post October 06, 2016, 09:35:31 pm
by Support
1 Replies
67 Views
Last post October 08, 2016, 03:12:08 pm
by Support
1 Replies
157 Views
Last post October 13, 2016, 01:26:54 pm
by Support
0 Replies
52 Views
Last post December 07, 2016, 06:25:50 pm
by Support

Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved