Millionaire  AdsAuthor Topic: Weka tangazo lako kwenye blogs zaidi ya 600 bure mwaka mzima. Pata watu wapya sasa  (Read 68 times)

Offline Support

 • Trade Count: (0)
 • Administrator
 • Hero Member
 • *****
 • Posts: 849
 • Karma: +0/-0
 • Hamia https://www.jamaaonline.com/?ref=Blogger
 • Referrals: 3424
  • View Profile
Habari njema kwa wamiliki wa blogs wote. Sasa unaweza kuitangaza blog yako bure kwenye blogs zaidi ya mia sita. Huduma hii ni bure mwaka mzima. Acha kulipia matangazo tena bali nufaika na huduma hii kwa kujiunga na uanachama wa rich bloggers.

Wanachama zaidi ya miasita wameshajiunga nasi na wananufaika na huduma hii ya kijanja. Karibu ujaribu uone manufaa yake. Kumbuka hutadaiwa hata shilingi moja katika kuweka matangazo kwenye blogs zaidi ya 600 kwa mwaka mzima

Fuata hatua hizi fupi kuweka tangazo lako

1. Weka codes zifuatazo  kwenye blog yako


Juu na chini ya blog yako (Horizontal ads)

 
Code: [Select]
<!-- AdSpeed.com Tag 8.0.2 for [Zone] Horizontal ads zone [Any Dimension] -->
<script type="text/javascript" src="http://g.adspeed.net/ad.php?do=js&zid=80301&oid=20289&wd=-1&ht=-1&target=_blank"></script>
<!-- AdSpeed.com End -->


Zifuatazo weka kulia au kushoto mwa blog yako (vertical ads) kulingana na nafasi ya matangazo ulizonazo kwenye blog yako

Code: [Select]
<!-- AdSpeed.com Tag 8.0.2 for [Zone] Vertical ads zone [Any Dimension] -->
<script type="text/javascript" src="http://g.adspeed.net/ad.php?do=js&zid=80303&oid=20289&wd=-1&ht=-1&target=_blank"></script>
<!-- AdSpeed.com End -->


2. Tuma link ya blog yako kwenda kwenye email ifuatayo: mkuublog@gmail.com

Hapo hapo mtalaamu husika atakuunganisha na kukuwekea matangazo yako kwenye blogs zote zinazoendelea kusajiriwa.


Tumia fulsa hii kupata maelfu ya watembeleaji kwenye blog yako ili upate matangazo ya kukulipa na uwe tajiri

Kwa msada wowote kwenye fomu hiyo hapo juu au codes hizo uliza hapa utajibiwa
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

Share on Facebook Share on Twitter


Offline Support

 • Trade Count: (0)
 • Administrator
 • Hero Member
 • *****
 • Posts: 849
 • Karma: +0/-0
 • Hamia https://www.jamaaonline.com/?ref=Blogger
 • Referrals: 3424
  • View Profile
Usipotaka kutangaza blog yako bure kwenye blogs zaidi ya 600 unaweza kuchagua kulipwa lakini utaanza kulipwa baada ya kuadd email yetu ya chatguestforum@gmail.com kwenye google analytics account yako kama can view Ili tuweze kutazama watu wangapi wametembelea blog yako kwa mwezi husika.

Sasa blog yako ni ajira tosha Weka codes za matangazo hapo juu kisha tutumie email mara tu ukiweka matangazo hayo au comment hapa chini tureview blog yako na kuendelea na taratibu nyingine Karibuni sana bloggers

Tunatengeneza ajira kwa vijana kupitia mitandao ya kijamii.Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo Ukiandika hapa chatguest huwezi kulipwa.

 

Related Topics

  Subject / Started by Replies Last post
0 Replies
16 Views
Last post June 20, 2016, 04:28:25 pm
by Support
0 Replies
13 Views
Last post September 20, 2016, 08:18:22 am
by Support
0 Replies
47 Views
Last post October 18, 2016, 05:48:00 pm
by Support
0 Replies
41 Views
Last post October 19, 2016, 01:13:40 pm
by Support
0 Replies
15 Views
Last post December 07, 2016, 09:11:48 am
by Support

Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved